Search This Blog

Saturday, August 15, 2020

Mhe. Rais Dkt. John P. Magufuli ahudhuria misa Takatifu ya Dominika ya 20 ya Mwaka A katika Kanisa katoliki la Bikira Maria Imaculata , Chamwino Dodoma

Padre  Paul Mapalala  Paroko wa Parokia ya Bikira Maria wa Imaculata  akiongoza misa Takatifu ya Dominika  ya 20 ya Mwaka A ya Kanisa Katoliki ,  Misa hiyo ilihudhuriwa na  Rais Mhe.Dkt. John P.Magufuli . Chamwino Dodoma. Rais Mhe.Dkt. John P.Magufuli  akiagana na Padre  Paul Mapalala  Paroko wa parokia ya Bikira Maria wa Imaculata  mara baada ya kumaliza […]

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...