Search This Blog

Thursday, August 20, 2020

Membe awaita wana CCM ambao hawajateuliwa kujiunga na ACT Wazalendo

 

Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimatifa Bernard Membe amewapongeza walioteuliwa kugombea ubunge katika majimbo mbalimbali kupitia chama cha mapinduzi CCM.

Membe akuishia hapo alichukua nafasi kuwapa pole wale waliokosa nafasi ya kuteuliwa na kuwkaribisha kujiunga katika chama cha ACT Wazalendo.





No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...