Search This Blog
Thursday, August 20, 2020
Mbunge aliyemaliza muda wake Jimbo la Handeni Vijijini ampongeza John Sallu kwa kuteuliwa kugombea jimbo hilo
Mbunge aliyemaliza muda wake na Jimbo la Handeni Vijijini Mboni Mhita ampongeza ndugu. John Sallu aliyeteuliwa na Chama Cha Mapinduzi CCM kupeperusha bendera ya chama hiko katika ngazi ya Jimbo (HANDENI VIJIJINI) kunako Uchaguzi Mkuu mwezi October mwaka huu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment