Search This Blog

Sunday, August 16, 2020

Mbasha Afunguka Baada ya Kupigwa Ngwala "Nimemsamehe Adamu Mchomvu, Yote Nimemwachia Mola"

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Emmanuel Mbasha amezungumza baada ya kupigwa mtama na Mtangazaji Adam Mchomvu ambapo amesema haoni kosa alilomfanyia Mchomvu mpaka ampige mbele za Watu na amejisikia vibaya sana lakini amemsamehee na amemuachia Mungu

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...