Search This Blog

Sunday, August 9, 2020

Lulu Mwacha aongoza kura za maoni UVCCM Wabunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana Tanzania Bara

 Wagombea wa nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum(Vijana), waliofanikiwa kupenya kwenye nafasi 6 Tanzania Bara baada kuchaguliwa na Baraza kuu la UVCCM Taifa, Dodoma, (kura za maoni) ni hawa wafuatao.

1. Lulu Mwacha (Arusha) kura 77

2. Halima Bulembo (Kagera) kura 74

3. Juliana Masaburi (Mara) kura 70

4. Lucy (Simiyu) kura 48

5. Asia Halamga (Manyara) kura 33.

6. Judith Kapinga (Ruvuma) kura 33



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...