Search This Blog

Sunday, August 16, 2020

Kikosi cha Simba kuanza mazoezi rasmi leo

 KIKOSI cha Simba leo Agosti 11, Jumatatu, kinatarajia kuanza mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2020/21.



Pia itakuwa ni maandalizi kuelekea kilele cha Simba day ambacho itakuwa ni Agosti 23, Uwanja wa Mkapa na Uwanja wa Uhuru.




Uwanja wa Mkapa itapigwa mechi na timu ambayo itatambulishwa leo na Uwanja wa Uhuru itafungwa 'Big Screen ' kwa ajili ya mashabiki kutazama mechi yao.




Miongoni mwa matukio ambayo yameshafanywa kabla ya kilele cha Simba day ni pamoja na suala la kufanya usafi kwenye fukwe ya Bahari ya Hindi, kufanya dua, kutambulisha wachezaji wapya.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...