Search This Blog

Sunday, August 30, 2020

Diamond, Kiba Walivyomaliza Ubishi Uzinduzi Wa Kampeni Za CCM

Wakali wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Diamond na Ali Kiba ambao wamekuwa wakiwagawa mashabiki kama zilivyotimu za Simba na Yanga kila mmoja akisema fulani anatisha leo walimaliza ubishi baada ya kupanda jukwaa moja.

Katika shoo hiyo iliyooneka kama vile mpambano wa kumaliza ubishi alianza kupanda jukwaani Ali Kiba na Kisha alimalizia Diamond Platniumz ambao kila mmoja alionesha uwezo wake.

Wawili hao kila mmoja alivyopanda jukwaani umati uliofirika uwanjani hapo ulilipuka kwa mayowe ya kushangilia.

Kelele za Kiiiba…Kiiiba… Kiiiba na zile za Siiimba…Siiimba Siiimba ndizo zilizotawala uwanjani hapo wakati wawili wakipandishwa jukwaani kila mmoja kwa wakati wake.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...