Search This Blog

Sunday, August 9, 2020

Barcelona yatinga robo fainali Ligi ya Mabingwa

 Barcelona wamefuzu robo fainali kwa kuitoa Napoli, huku Messi akiandika rekodi ya kuwa amefunga 1.3% ya magoli yote yaliowahi kufungwa katika historia ya Ligi ya Mabingwa.

FT: Barcelona 3-1 Napoli (Lenglet 10’ Messi 23’ Suarez 44’P) (Insigne 45’) (agg 4-2) 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...