Search This Blog

Friday, July 24, 2020

VIDEO: Mtoto wa Mzee Mkapa Alivyowasili Nyumbani Baada ya Kifo cha baba yake


Kufuatia kifo cha Rais Mstaafu  wa awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa viongozi na watu mbalimbali wameendelea kufika nyumbani kwake na kusaini kitabu cha maombolezo huku mtoto wake akiwa amewasili mapema na kukutana na mama yake.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI:



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...