Search This Blog

Sunday, July 26, 2020

VIDEO: Majeruhi ajali iliyouwa watano Dododma wasimulia ajali hiyo


Watu watano wamepoteza maisha baada ya basi dogo aina ya costa kugongana na trekta eneo la Bahi Mkoani Dodoma wakati wakitoka katika sherehe ya harusi Manyoni mkoani Singida wakirejea Dodoma mjini ambapo mkuu wa mkoa wa Dodoma Dkt Binilith Mahenge amefika eneo hilo na kutoa maagizo kwa jeshi la polisi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...