Search This Blog

Monday, July 20, 2020

ULEGA AIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI JIMBO LA MKURANGA.

 Matokeo ya Kura za maoni jimbo la Mkuranga  ,Idadi ya wapiga kura 1,218  
Kura zilizo haribika 4 na halali  1214.

Wagombea ni 15 (1)Abdallah Ulega 1138
(2) Ramadhani Mlao   50 
(3)Ally Jumanne Mawe   7 
4)Mwasiti Omari    5 
5)Ibrahim zambi 3
6)Omari kambangwa 3
7)Ramadhani Pepo 3
8)Dismas Bengese 2
9)Curtius Mwesa  1
10Saidi manzerele 1 
11)Nuruel Kavishe 1
12 Jafari  Ndande   0 
13Dominick salamba 0 
14Bruno ng’ing’o. 0 
15Eng SALUM ALLY 0 




             

  Sehemu ya Wajumbe Halali wa kikao wakifuatilia matukio mbalimbali katika  Ukumbini wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani Picha zote na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv



  Sehemu ya Wajumbe Halali wa kikao wakifuatilia matukio mbalimbali katika  Ukumbini wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Mkuranga mkoa wa PwaniPicha zote na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv.

 Sehemu ya Wajumbe Halali wa kikao wakifuatilia matukio mbalimbali katika  Ukumbini wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani Picha zote na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv



Picha zote na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...