Search This Blog

Monday, July 20, 2020

Suleiman Nchambi ashinda kwa kishindo kura za maoni jimbo la Kishapu


Mkutano wa Maalumu wa CCM wilaya ya Kishapu wa kupiga kura za maoni kupata mwanachama wa CCM atakayegombea Ubunge Jimbo la Kishapu katika uchaguzi Mkuu mwaka 2020 uliofanyika Jumatatu Julai 20, 2020 umemalizika  Julai 21,2020 saa saba usiku ambapo Suleiman Nchambi aliyekuwa anatetea kiti chake ameshinda kwa kishindo katika uchaguzi huo kwa kupata kura  544 akifuatiwa na  Kishiwa Francis Kapale aliyepata kura 54 na Boniphace Butondo kura 40.

Jumla wajumbe waliotakiwa kupiga kura ni 934, wajumbe waliowapiga kura ni 882, zilizoharibika 2





No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...