Search This Blog

Monday, July 20, 2020

Matokeo ya kura za maoni jimbo la Morogoro mjini,,Abood ang'ara.

Jumla ya kura zilizopigwa 638
Kura harali 636
Kura zilizoharibika 2

Matokeo
1. AbdulAziz Abood kura 524
2. Merkiory Manset kura 17
3. Ally Yahaya Simba 15
4. Idhah Omary Abdalah (Alsaedy) kura 10


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...