Search This Blog

Sunday, July 5, 2020

Stamico yawakivutio katika maonesho ya sabasaba.

 Kaimu Mkurugezi Mtendaji wa Shirika la Taifa la Madini (STAMICO) Dkt. Venance Mwasse akipata maelezo  kwa wafanyakazi  wa shirika hilo namna wanavyotoa huduma kwa wananchi katika Maonesho biashara kimataifa (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
 Kaimu Mkurugezi Mtendaji wa Shirika la Taifa la Madini (STAMICO) Dkt. Venance Mwasse akizungumza na wafanyakazi wa shirika Hilo kuhusiana na kutoa elimu kwa wananchi kujua shirika hilo namna wanavyoweza kutumia fursa katika uchimbaji wa madini katika kufuafa taratibu wakati alipotembelea banda la Stamico  katika maonesho ya sabasaba yanayofanyika katika viwanja Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
 Mtaalam wa kuchakata madini ya Metal Sikini Nyakisinda akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea Banda la Stamico katika maonesho sabasaba yanatofanyika viwanja vya Mwalimu Nyerere  (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
Mchakataji wa Madini wa Stamico Denis Silas  akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea Banda la Stamico katika viwanja vya  Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...