Search This Blog

Sunday, July 26, 2020

Serikali ya Burundi ytngza siku ttu za maombolezo


Serikali ya Burundi imetangaza siku 3 za maombolezo kufuatia kifo cha Rais mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa. Kwa siku zote tatu Bendera zitapepea nusu mlingoti ikiwa ni kuanzia kesho jumatatu.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...