Search This Blog
Monday, July 13, 2020
Omar Lali, Mpenzi Wake Marehemu Tecra Muigai Shemeji wa BEN POL Ashtakiwa Kwa Mauaji
Omar Lali, mpenzi wa mwanawe mmiliki wa Kampuni ya Keroche Tabitha Karanja, Tecra Muigai ameshtakiwa leo huko Lamu kwa mauaji yake.
Tecra aliaga dunia mei tarehe 2 katika nyumba moja ya kibinafsi huko Shella, kaunti ya Lamu alikokuwa akiishi na Lali.
Baada ya kuanguka inaarifiwa kwamba alipelekwa katika hospitali moja ya eneo hilo kabla ya kusafirishwa kwa ndege hadi Nairobi kwa matibabu lakini akaaga dunia kutokana na majeraha aliyopata.
Lali alikamatwa baadaye kutokana na kifo cha Tecra kwa kushukiwa kwamba ndiye aliyemsukuma.
Kulikuwa na ripoti kwamba palikuwa na ugomvi kati yao kabla ya kifo chake, madai ambayo wakili wa bwana Lali anayakana vikali.
Mwezi mei, mahakama ilikataa ombi la kutaka kundelea kumzuilia Lali seli kabla ya kushtakiwa kwake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment