Search This Blog

Wednesday, July 1, 2020

MKATABA WA KUJENGA JENGO LA MAHAKAMA YA TANZANIA DODOMA

 Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Mathias Kabunduguru (katikati) jana  amesaini mkataba wa ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania  na  Mwenyekiti wa Kampuni ya Reli kutoka nchini China, Bw.Xie Zhixiang CRJE(East Africa) ambaye  hayupo pichani .Jengo hilo litajengwa kwa  muda wa miaka miwili, eneo la NCC Jijini Dodoma. Kushoto ni Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Wilbert Chuma na (kulia) ni Msajili wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Mhe. Kevin Mhina.
Mwenyekiti wa Kampuni ya Reli kutoka nchini China, Bw.Xie Zhixiang CRJE(East Africa) akisaini mkataba huo. Tukio hili limefanyika kwenye ofisi za  Makao Makuu ya Mahakama ya  Tanzania,Jijini Dar es Salaam.PICHA NA INNOCENT KANSHA - MAHAKAMA


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...