Search This Blog
Wednesday, July 8, 2020
Meek Mill Ashtakiwa kwa Kuiba Mashairi
RAPA Meek Mill amefunguliwa mashtaka kwa kuiba mashairi ya nyimbo mbili za lebo ya Philadelphia.
Kampuni ya Dream Rich Entertainment imefungua mashtaka hayo dhidi ya Meek mwezi uliopita ikiishitaki lebo yake ya utoaji nyimbo ya Dream Chasers na kampuni-mama yake ya Atlantic Records kuhusika katika wizi huo.
Dream Rich inasema kwamba Meek aliiba mashairi hayo katika nyimbo zake za “100 Summers” na “Cold Hearted II” akijifanya ni zake.
Huko mahakamani, imesema Mek aliyapata mashairi hayo na kuyaingiza katika albam yake ya mwaka 2018 iliyoitwa Championships.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment