Waziri wa Maliasili na Utalii Kigwangala aongoza kura za maoni Jimbo la Nzega Vijijini kwa kupata kura 415 kati ya 731 zilizopigwa, John Doto Kisute amepata kura 264, Gabriel Ishole amepata kura 8. Wagombea wengine 16 wamepata chini ya kura 3 kila mmoja.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulikia Sekta ya Ujenzi, Arch. Elius Mwakalinga, akitoa maelekezo kwa Kai...

No comments:
Post a Comment