Search This Blog

Sunday, July 26, 2020

Joel Luagwa mvlish pete ya uchumba mpenzi wake


Mwimbaji wa nyimbo za injili Bongo, Joel Luagwa amemchumbia mchumba wake anayetarajia kufunga naye ndoa hivi karibuni, tukio hilo limefanyika jana July 26, 2020 ambapo wameshiriki watu wake wa karibu wakiwemo MC Pilipi na MC Luvanda




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...