Search This Blog

Sunday, July 12, 2020

Jerry Muro, Dismas Ten waipongeza simba kwa ushindi "Simba imecheza mpira wa kiwango cha uchumi wa kati"


Timu ya simba jana imeionyesha mpira timu ya yanga na kukubari kuchezea kichapo cha bao 4-1 hali ambayo imepelekea wana yanga kotoa ya moyoni kuhusu mchezo huo

Kwa upande wake DC Jerry Muro na ambaye aliwahi kuwa msemaji wa yanga kupitia instagram yake ameandika haya;

Simba imecheza mpira wa kiwango cha uchumi wa kati, Hongereni sana @simbasctanzania fantastic football, hili nalo litapita tu ndugu zangu @yangasc maisha yanaendelea bado matukio ni mengi likiwemo la uchaguzi mkuu ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

Naye Dismas ten amesema sio suala la mbinu tu ni ubora wa timu, mchezaji mmoja mmoja na mbinu binafsi nimekubali sina sababu wala kisingizio honereni simba SC kila la kheri kwenye fainali , kila la kheri kimataifa




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...