Search This Blog

Wednesday, July 15, 2020

HAPPINESS ESSAU ALITAKA JIMBO LA BUKOBA MJINI,AJITOSA KUCHUKUA FOMU

 Bi Happiness Essau akikabidhiwa fomu yake ya kugombea Ubunge  Jimbo la Bukoba Mjini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). 
 Bi Happiness Essau amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kupitia (CCM).


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...