Search This Blog

Monday, July 13, 2020

Godbless Lema "Nimesoma Waraka wa Sheikh Ponda Hatakiwi Kuwekwa Mahabusu"


Aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema,  amesema amesoma kwa makini waraka wa Sheikh Issa Ponda hapaswi kuwekwa maabusu.

“Hapaswi kuwekwa mahabusu isipokuwa ufafanuzi wa mambo yaliyo andikwa, ameongea vitu vingi muhimu na dhahiri haswa kwa wakati huu,” aliandika Lema katika ukurasa wake wa twitter.

“Haki haiwezi fungwa pingu, mwachieni huru Sheikh Ponda Issa,” aliandika Lema.


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...