Search This Blog

Wednesday, July 15, 2020

Elibariki Kingu achukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Singida Magharibi


Kutoka Singida, Elibariki Kingu amechukua fomu na tayari ameijaza na kuirudisha katika Ofisi ya CCM Wilaya ili kutetea uwakilishi wa Jimbo la Singida Magharibi katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...