Mshindi wa uchaguzi kwenye kura za maoni za Ubunge CHADEMA Tarime Mjini ni Esther Matiko mwenye kura 80 (97. 6%), Matiko alikuwa Mgombea pekee na alihitaji tu kura za Ndio au Hapana ambapo amepata Ndio 80 (97.6) na Hapana 2 (2.4%).
Mshindi wa uchaguzi kwenye kura za maoni za Ubunge CHADEMA Jimbo la Kawe ni Halima Mdee mwenye kura 63 (71.5%) akifuatiwa na Doricus Mwilafi mwenye kura 13 (14.7%), Joel Mwakalebela kura 7 (7.9%) na Felsta Njau kura 5 (5.6%)

No comments:
Post a Comment