Search This Blog

Saturday, July 25, 2020

Barabara zitakazotumika kwa mwili wa Benjamin Mkapa leo kuelekea uwanja wa Taifa


Barabara ambazo mwili wa Rais Mstaafu Benjamin Mkapa utapita leo Julai 26 kuelekea Uwanja wa Taifa ambapo Shughuli rasmi za kutoa heshima za Mwisho zitafanyika , Leo Tar. 26 Julai Kuanzia saa 2:30 asubuhi

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...