Mtangazaji maarufu wa vipindi vya burudani mchana, Adam Mchomvu kutokea Clouds FM anatarajiwa kuonekana na kusikika leo Wasafi TV.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwenye kurasa za mitandano ya kijamii ya Wasafi TV ni kwamba Mchomvu ataonekeana saa tatu usiku.
Hata hivyo, taarifa hiyo haijaeleza iwapo Mtangazaji huyo wa Show ya XXL kajiunga rasmi na Wasafi Media.
Ikumbukwe kuwa, takribani miezi miwili iliyopita, Mtangazaji mwingine wa aliyekuwa wa show hiyo, B Dozen alijiunga na E FM Radio/TV E Tanzania.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment