Search This Blog

Sunday, June 14, 2020

Watu 19 wamefariki baada ya kulipuliwa na lori lililobeba tenki la gesi



Watu 19 wamefariki hadi sasa huku wengine 172 wakijeruhiwa na kukimbizwa Hospitali baada ya kulipuka kwa Lori lililobeba tenki la gesi asilia (LNG) katika Jimbo la Zhejiang, China, idadi ya vifo inahofiwa kuongezeka.





No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...