Search This Blog

Monday, June 22, 2020

Wafanyakazi wa Benki ya NMB Waisaidia Hospitali ya Ocean Road

Benki ya NMB wakati wote inaamini katika kugusa na kubadili maisha ya wanajamii, ushiriki wa Wafanyakazi katika programu za kuisaidia jamii umeongezeka maradufu ukichangiwa zaidi na ari waliyonayo kutaka kupunguza changamoto na kero zilizopo kwenye jamii inayowazunguka na wanayoihudumia.
Kaimu Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Seka Urio (kushoto) akimkabidhi vifaa vya Hospitali Kaimu Mkurugenzi wa Tiba wa Taasisi ya Ocean Road , Dk. Asafu Munema ikiwa ni michango ya wafanyakazi wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam.
Sehemu ya vifaa vilivyotolewa na wafankazi wa Benki ya NMB kwa Hospitali ya Ocean Road.


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...