Search This Blog

Sunday, June 21, 2020

Simba yaanza safari leo kuifuata Mbeya City


TIMU ya Simba leo imeanza safari kwa ndege kutoka Uwanja wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kuelekea Mbeya kwa ajili ya michezo miwili ya Ligi Kuu Bara.

Jumatano ya Juni 24 itakuwa na kazi mbele ya Mbeya City mchezo utakaochezwa Uwanja wa Sokoine.

Mchezo wa kwanza Simba ilishinda mabao 4-0 mchezo uliochezwa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...