Search This Blog

Saturday, June 13, 2020

Rich Mavoko ni Mjeshi, Amepigana Sana- Darasa



Rich Mavoko mwenyewe ndio anaweza kuongea kuhusu yeye, ila naamini yeye ni Mwanajeshi na ameshapigana sana kwenye njia yake, ameshafanya vitu vingi kwenye maisha yake, naamini kipaji chake nataka kumuona, mara ya mwisho tulikutana studio tunafanya 'project' kwa Abba na alikuwa yupo poa tu, unajua hataki tu kujionyesha" amesema Darasa

"Kuna watu ambao wananizidi 'followers' kwenye Mitandao na vitu vingi kwenye but hawawezi kushindana na mimi kwenye kazi zangu na maisha yangu na wako bize 24/7" amesema  Darasa

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...