Search This Blog

Monday, June 1, 2020

Picha ya Tukio Inayozungumziwa Zaidi Mitandaoni...Mzungu Aliyekamatwa Kwa Kesi ya Mauaji Akihudumiwa Vizuri na Polisi wa Marekani..Tofauti na Mtu Mweusi Akikamatwa


Hili ni moja ya Matukio yanayozungumziwa zaidi Mitandaoni na kuchagiza hoja ya Ubaguzi wa rangi unaoendelea nchini Marekani kwasasa

Huyu ni Sebastian Arzadon , Aliyekamatwa juzi kwa kesi ya Mauaji ya watu wawili huko Lawrenceburg nchini Marekani. Licha ya kuwa ni muuaji , Sebastian alikamatwa vizuri na polisi ikiwemo kumpatia maji ya kunywa pamoja na kumsafisha majeraha yake kabla ya kumpeleka kituoni

Hali ni tofauti kwa Wamarekani weusi , ambao wengi wao huteswa na polisi ikiwemo kupigwa risasi , kwa makosa yasiyo na uzito , na polisi wanaofanya hivyo kutochukuliwa hatua yoyote

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...