Search This Blog

Wednesday, June 24, 2020

Petit Man: Nimeachana na Esma ila atabaki kuwa mzazi mwenzangu

Petit Man wakuache ambae ni Mzazi Mwenza Esma  dada wa msanii Daimond Platinum ameweka Wazi Kuhusu Mahusiano Yake Na Mzazi Mwenza Wake  Kwasasa Baada Ya Kuwepo Na Story Nyingi Juu Yao

Petit Man wakuache Alipokuwa Akifanyiwa Interview Na Kituo Cha Radio Cha TIMESfm Amesema

''Mimi Na Esma Platnumz Hatuko Pamoja Muda Mrefu Sana Sasa Yeye Ni Mzazi Mwenzangu Na Itabaki Kuwa hivyo Tu, Nipo Kwenye Mahusiano Kwa Muda Mrefu Tu, Nachoweza Kuwaambia Ma Ex Wangu Wote Ni Mungu Awabariki''

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...