Search This Blog

Wednesday, June 17, 2020

Lamine Moro Lamine Moro aomba Radhi

Beki wa Klabu ya Yanga, Lamine Moro ameomba radhi kwa kitendo alichokifanya akiwa uwanjani kwenye Mchezo wa yanga dhidi ya JKT Tanzania na huku Mwalimu Luc Eymael nae akitanabahisha Umma kwa tukio hilo.

Hata hivyo uongozi wa Yanga ulitangaza kumkata mshahara wake wa kiasi cha shilingi milioni moja kutoka kwenye mshahara wake kwa kosa la kitenda  kisicho cha kiungwana dhidi ya Mwinyi Kazimoto wa JKT Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...