Search This Blog
Monday, June 22, 2020
Jaydee Atoa Pole kwa Wasanii wa Kike Asema Wanaotoa Ngono Wanatoboa
Msanii wa Muziki wa Bongo Flave, Judith wambura, maarufu kwa jina la Lady Jaydee ametoa pole kwa wasanii wa kike kwa yote ambayo wanapitia.
“Poleni sana wasanii wa kike kwa yote mnayopitia, mnayoweza na msoweza kuyaongelea,” aliandika Jaydee katika ukurasa wake wa twitter
“Nasema tena pole sana. Sio rahisi kama inavyodhaniwa au kuonekana, mngekuwa wazazi labda ingewasaidia mimi huwa naropoka liwalo na liwe. Love toka kwa Dada mkuu,”
Jaydee amesema ” Wanaoweza kutoa ngono wanatoboa wasioweza wanakata tamaa wanaachia njiani,”
Msanii huyo amesema hilo ni jibu la kwanini wasanii wa kike ni wachache kwenye tasnia.
“Sio kila mtu anaweza kutoa mwili wake tu popote,” aliandika Jaydee
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...



No comments:
Post a Comment