Search This Blog
Tuesday, June 9, 2020
Idadi ya watalii yavunja rekodi Pamukkale
Pamukkale, ambayo imeanza kuwakaribisha watalii tena mnamo 1 Juni baada ya kufungwa tangu Machi 19 kutokana mlipuko wa virusi vya corona imetembelewa na watu 2078 kwa siku 8..
Mji huo wa kitalii nchini Uturuki ulitembelewa na watalii zaidi yamilioni 2 mwaka jana.
Hata hivyo wageni wanalazimika kupimwa joto la mwili na kuvaa barakoa wakati wanapotembelea eneo hilo.
Turhan Veli Akyol, Naibu Mkurugenzi wa Tamaduni na Utalii wa Mkoa huo amesema kwamba katika kipindi cha siku 8, watu elfu 2 wameingai kutalii.
Akloy pia amewakaraibisha watalii kutoka mataifa mbalimbali baada ya kutangazwa kufunguliwa kwa ndege za kimataifa hivi karibuni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment