Search This Blog

Tuesday, June 16, 2020

BREAKING NEWS: Rais Magufuli achukua fomu ya kugombea urais



 leo Juni 17, 2020 amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama chake cha CCM. Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu Mkuu Dkt Bashiru Ally asubuhi hii jijiji Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...