Search This Blog

Saturday, June 13, 2020

Breaking: Membe aomba kujiunga na CHADEMA

 Chama cjha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimetangaza ujio wa Membe kwenye chama chao ni baada ya  kupeleka barua ya ombi la kujiunga na katika chama hicho.

Tumepokea barua ya ombi la kujiunga chadema toka kwa Mh. Bernard Membe lenye lengo la kuungana nasi kwenye uchaguzi ujao.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...