Mkali wa muziki wa singeli Meja Kunta, amenyoosha maelezo jinsi watu wanaomzunguka wanavyomchukulia kwa sasa, baada ya kujitengenezea kiki ya kifo mwanzoni mwa mwaka huu.
Meja Kunta amesema sasa hivi watu wanasapoti maisha yake na kila kitu anachokifanya kwa sababu, wamemuelewa na wameamua kumpokea tena.
"Watu wanasapoti sana maisha yangu na muziki wangu, wanatamani kuniona nafika sehemu fulani, wameamua kunipokea na Watanzania wamenielewa maisha mengine yanaendelea, pia watu wananipenda kutokana na ninachokifanya, wameamua kuishi kutokana na maisha yanavyoenda" ameeleza Meja Kunta.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment