Search This Blog
Sunday, June 21, 2020
Aliyekuwa Waziri wa Habari Rashid Ali Juma achukua fomu ya kugombea Urais Zanzibar
Aliekuwa Waziri wa Habari, Utalii na Utamaduni Zanzibar, Rashid Ali Juma amekuwa Mgombea wa 16 kujitokeza kuchukua Fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar.
Rashid Ali Juma Pia alikuwa Waziri wa Kilimo,Maliasili, Mifugo na Uvuvi Zanzibar na Mwakilishi wa Jimbo la Amani Unguja.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...



No comments:
Post a Comment