Search This Blog

Sunday, May 10, 2020

Wagonjwa Wa Corona Nchini Kenya Wafika 672



Idadi ya wagonjwa wa corona nchini Kenya imeongezeka hadi 672 baada ya wagonjwa wapya 23 kukutwa na virusi hivyo katika kipindi cha saa 24, huku idadi ya waliopona virusi ikifika 239 baada ya wagonjwa wengine 32 kupona virusi hivyo

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...