Search This Blog

Wednesday, May 27, 2020

Sema Parking ya Diamond Platnumz ni Kama Parking ya Bunge..Wengine Wanakwama Wapi?


Aisee hela noma wakuu. Parking ya huyu mtoto mdogo ni kama parking ya bunge Gari zote za heshima yaani za bei ya juu, na hizo zote kanunua kupitia muziki wake, Unaambiwa ukizungusha funguo tu Uwashe Lita nne za mafuta zinakata...Wasanii wengine wanakwama wapi ?

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...