Search This Blog
Thursday, May 7, 2020
RC Chalamila Atamani Wabunge Wachapwe Viboko
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amesema kuwa wakati wananchi wanaendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Covid 19 kama ambavyo majeshi mbalimbali huwa yanajiandaa kupambana na aduai yeye angekuwa Spika wa bunge viboko vingetambaa bungeni.
Amesema hayo wakati akiongeo na baraza la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Rungwe katika kikao cha kupokea na kujadili hoja zilizoibuliwa na Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabuza serikali (CAG) ambapo amesema viongozi wa serikali ndio wanaotakiwa kuwa mstari wa mbele kwenye vita hiyo.
”Hata juzi Bungeni wenzetu wale wapinzani wametoka nje lakini hapo hapo wanataka bunge lijadili dharula kupitisha fedha, sasa unajiuliza watajadili wakiwa wapi gesti au hotelini umeona ni akili za kitoto ningekuwa mimi ni Spika viboko vingetambaa wacha kabisa sababu hamuwezi kuendesha bunge kwa utoto” amesema Chalamila
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment