Search This Blog

Saturday, May 2, 2020

Rais wa Uturuki azungumza na wagonjwa wa virusi vya corona kwa njia ya video


Rais Recep Tayyıp Erdoğan azungumza kwa njia ya video na wagonjwa wa virusi vya corona wanaopatiwa  matibabu katika  hospitali  Cerrahpaşa.

Taarifa iliztolewa katika ukurasa wake wa Twitter zimefahamisha kuwa rais Erdoğan amezungumza na wagonjwa hao  baada ya kuongonishwa   kwa njia ya video na hospitali  hiyo .

Waziri wa habari wa Uturuki Fahrettin Altun  na msemaji wa ikulu Ibrahim Kalın wameonekana katika picha iliorushwa ambapo rais Erdoğan  alipokuwa akizungumza na wagonjwa hao.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...