Search This Blog

Friday, May 1, 2020

Mimi Mvrs Afunguka Kuhusu Dada Yake Vanessa MDEE Kuacha Kufanya Mziki na Kuendekeza Mapenzi


Mimi Mvrs "Mimi Naona tu Mitandaoni wakisema kuwa dada yangu ameacha kufanya kazi yake ya muziki na yupo bize na Rotimi, Si kweli kazi anafanya na pia maisha mengine yanatakiwa yaendelee siyo kama muziki anaupa kisogo, hapana, wamuache afanye ambacho anajisikia kufanya"

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...