Rais Magufuli leo May 30,2020 Mkoani Dodoma amewakabidhi Marais Wastaafu wa Tanzania kila mmoja Tausi 25 wanaopatikana Ikulu, ili wakawatunze kwenye bustani zao, Mama Maria Nyerere amekabidhiwa pia Tausi hao kwa niaba ya Baba wa Taifa Mwl. Nyerere.
“Tausi hawa ambao kila Rais Mstaafu nimemkabidhi 25 wataanza kuondoka leo hii tumeshaandaa utaratibu kuwasafirisha kwenda Butiama, Msoga nk, ikitokea mmoja akafia njiani tutareplace (zimetolewa pia kilo 100 za chakula cha Tausi cha kuanzia kwa kila mmoja)”-JPM
“Tanzania hatukuwahi kuwa na Tausi waliltetwa na Baba wa Taifa, Mama Maria anaifahamu zaidi historia yake, Mzee Mwinyi aliwakuta angeweza kuwachinja na kuwala nyama maana nyama yake tamu kuliko kuku ila aliwatunza, Mzee Mkapa na Kikwete pia wakawatunza”-JPM
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment