Search This Blog
Friday, May 1, 2020
Idadi ya maambukizi ya corona Uganda yaongezeka
Wizara ya afya ya Uganda imesema kuna ongezeko la wagonjwa wengine wawili wa corona na kufanya idadi ya visa vya corona Uganda kufikia 83, wagonjwa wapya wote ni madereva wa malori kutoka Kenya, waliopona corona Uganda hadi sasa ni watu 52 na hakuna kifo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment