Search This Blog
Friday, May 1, 2020
Beki wa Tunisia ahukumiwa kwenda jela
Beki wa zamani wa club ya Zamalek ya Misri Hamdi Nagguez ,27, amehukumiwa kifungo cha miezi minne jea kwa kosa la kumtolea hadharani lugha ya matusi.
Hamdi amepewa adhabu hiyo sambamba na faini ya dola 35,000 (Tsh milioni 80) sababu ya kumtukana afisa wa umma wa wizara ya mambo ya ndani ya Tunisia baada ya kuombwa leseni ya gari na kukutwa hana wakati kukiuka na zuio la serikali.
Kosa hilo Hamdi alitenda April 22 akiwa Tunisia katika mji wa Sousse, kama utakuwa unakumbuka vizuri Hamdi alicheza kwa miaka miwili Zamalek kabla ya December 2019 kuamua kuvunja mkataba na kurejea kwao sababu kutokulipwa malimbikizo ya mishahara yake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment