Search This Blog

Thursday, May 28, 2020

Baada ya Seven Mosha na Alikiba Baraka de Prince agombana na uongozi wake mwingine, Waanika madudu yake hadharani



Aliyekuwa meneja wa Baraka the Prince Faky Junior amefunguka sababu zilizopelekea kuacha kufanya kazi na msanii wake 

“Sikusaini nae mkataba, alifuta kila kitu na kunitoa kwenye bio ya Instagram bila kunambia kisa nilimtumia hela ya Uber aende nyumbani kutoka kwenye interview ya Clouds FM”

Faky Junior pia amemshauri Barakah the prince endepo atataka kufanya vizuri kwenye muziki na kuachana na utoto akue ndo atafanikiwa.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...