Search This Blog

Saturday, April 25, 2020

Visa vya corona vyafikia 336 Kenya


Wizara ya Afya Kenya imesema sampuli 946 zimepimwa ndani ya saa 24 zilizopita kutoka kwa Watu wa Nchi 12 tofauti na kati ya hizo Watu 16 wamekutwa na corona, hii inafanya visa vya corona Kenya kufikia 336 kutoka 320.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...